WARSHA YA MABADILIKO YA TABIA YA INCHI YAFUNGULIWA MJINI BAGAMOYO LEO
Mgeni Rasmi, Katibu
Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bwana Sazi Salula akifungua Warsha kuhusu mipango
ya kuhimili mabadiliko ya Tabia Nchi iliyofanyika mjini Bagamoyo. Warsha hiyo
imeandaliwa na Ofisi ya Makamu na kushirikisha Wadau kutoka Taasis mbalimbali
za Serikali na Sekta Binafsi.
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Mazingira toka Ofisi ya
Makamu wa Rais Bwana Richard Muyungi akimkaribisha Mgeni Rasmi kufungua Warsha
hiyo.
Baadhi ya Wadau waliohudhuria Semina hiyo wakimsikiliza
kwa Makini Mgeni Rasmi .
Mgeni Rasmi ,
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bwana Sazi Salula akiwa katika picha
ya pamoja na Wadau waliohudhuria akifungua Warsha kuhusu mipango ya kuhimili
mabadiliko ya Tabia Nchi iliyofanyika mjini Bagamoyo.
No comments:
Post a Comment