THE STARS BAND YAZINDULIWA RASMI SIKU YA EID MOSI NDANI YA MZALENDO PUB HUKU IKISINDIKIZWA NA BENDI YA FM ACADEMIA PAMOJA NA BARNABA

Mkurugenzi
wa The Stars Band, Aneth Kushaba akijitambulisha kwa mashabiki wakenm
pamoja na azungumza na wapenzi wa bendi mpya ya The
Stars Band wakati wa uzinduzi yeye binafsi alisema hawezi kusema
yaliyopita bali wapenzi wa bendi hiyo wategemee makubwa kutoka kwenye
bendi hiyo iliyozinduliwa siku ya Idd Mosi ndani ya kiota cha Mzalendo Pub
Mwimbaji
wa Bendi ya The Stars, Felly Kano akionesha mambo yake kwenye stage hii
yote ni wakati anajitambulisha kwa mashabiki wa bendi waliofika kwenye
uzinduzi wa bandi hiyo
Mwimbaji wa Bendi ya The Stars, Seghito
mwenye sauti ya kumtoa nyoka pangozi akijitambulisha kwa kuonesha uwezo
wake kwenye stage wakati wa uzinduzi wa bendi hiyo uliofanyika katika
kiota cha Mzalendo Pub jijini Dar.
Mwimbaji wa Bongo Flava, Barnaba Elias aka Barnaba akiimba moja ya nyimbo zake huku akisindikizwa na waimbaji wa Bendi ya The Stars kutshoto ni Seghito na kulia ni Prince.
Waimbaji wa Bendi ya FM Academia 'Wazee wa Ngwasuma' ambao ni Jesus(wa kwanza kushoto) akifuatiwa na Patcho Mwamba(wa pili kutoka kushoto), Pablo
Masai (katikati), Mulemule(wa pili kutoka kulia) pamoja na 33 wote
wakiimba kwa pamoja wakati wa uzinduzi wa bendi mpya ya The Stars katika
kiota cha Mzalendo Pub
No comments:
Post a Comment