Mwenyekiti wa CCM, Rais Kikwete Afungua kikao cha kuipitia Ilani ya Uchaguzi wa 2015, mjini Dodoma leo

Mwenyekiti
wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Mrisho Kikwete akionyesha
kitabu ya Rasimu ya Ilani ya CCM kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka
2015, wakati wa Kikao cha Kamati Kuu cha kuijadili na kuipitisha Ilani
hiyo kinachofanyika, leo Julai 4, 2015 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa CCM
Makao Makuu, Mjini Dodoma.

Mwenyekiti
wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Mrisho Kikwete (kulia) na
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Rais wa
Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein wakipitia Rasimu ya Ilani ya CCM ya
Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015, wakati wa Kikao cha Kamati Kuu cha
kuijadili na kuipitisha Ilani hiyo kinachofanyika, leo Julai 4, 2015
kwenye Ukumbi wa Mikutano wa CCM Makao Makuu, Mjini Dodoma.

Katibu
Mkuu Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Abdulrahman Kinana akizungumza
wakati akimuomba Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Mrisho Kikwete kufungua
Kikao cha Kamati Kuu cha kuijadili na kuipitisha Ilani ya CCM ya
Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 kinachofanyika, leo Julai 4, 2015 kwenye
Ukumbi wa Mikutano wa CCM Makao Makuu, Mjini Dodoma. Wengine pichani ni Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein (kushoto) na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Ndg. Phillip Mangula.

No comments:
Post a Comment