MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU WILAYANI MLELE- KATAVI
Kabula Kalamu wa eneo la Lalanayo wilayani Mlele akitoka bombani kuteka maji huku akiwa amembeba mgogongoni mwanae Masunga Mayunga Jula 17, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiwa amekalia oja ya madwati mapya ya plastiki
yaliyowekwa kwenye moja ya madara ya shuley amsingi ya Kakuni wilayni
Mlele akiwa katika mapumziko mafupi kijijini kwake Kibaoni Julai 16,
2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment