KADA WA CCM ASSENGA ALITAKA JIMBO LA KILOMBERO
Kada
wa CCM, Abbakar Assenga akitangaza nia ya kugombea Ubunge jimbo la
Kilombero mkoani Morogoro, mbele ya umati wa wananchi waliofurika kwenye
mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi
Kining'ina, Ifakara, leo
Msanii
wa muiziki wa Bongo Fleva, Ali Kiba, akizungumza na umati wa wananchi
waliohudhuria mkutano huo wa Kada wa CCM, Abubakari Assenga (kushoto)
aliyetangaza nia ya kugombea Ubunge jimbo la Kilombero kwenye mkutano
huo
Ali
Kiba akiwapa hi, umati wa wananchi waliohudhuria mkutano huo wa Assenga
kutangaza nia ya kuwania ubunge, jimbo la Kilombero mkoani Morogoro,
kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi
Kining'ina, Ifakara, leo baada ya mechi ya fanali ya Kombe la Assenga
iliyofanyika kwenye Uwanja wa Asante Afrika, Ifakara
Mchezaji
wa timu ya Lumemo Ashir Mtenge (kushoto), akipambana na mchezaji wa
Kining'ina Juma Ngulukila, timu hizo zilipoemnyana katika mechi ya
fainali ya Kombe la Assenga, kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi
Kining'ina, Ifakara mkoani Morogoro leo. Kining'ina iliibuka bingwa wa
kombe hilo baada ya kuicharaza Lumemo mabao 6-0 katika mechi hiyo.
No comments:
Post a Comment