CHAMA CHA WANAWAKE WANASHERIA TANZANIA(TAWLA) WAFUTURU NA WATOTO YATIMA WA KITUO CHA MWANA VINGUNGUTI JIJINI DAR.
Watoto
yatima wa kituo cha Mwana kilichopo Vingunguti jijini Dar es Salaam
wakiwa wamekaa katika kituo hicho mara baada ya Chama Cha Wanawake
wanasheria Tanzania (TAWLA),kuwatembelea na kufuturu pamoja nao katika
mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Wanachama wa Chama Cha Wanawake wanasheria Tanzania (TAWLA) wakichukua
Futari kwaajili ya kuwagawia watoto wa kituo cha Mwana kilichopo
Vingunguti jijini Dar es Salaam jana.
No comments:
Post a Comment