BANK OF AFRICA YAFUTURISHA WATEJA WAKE
Mkurugenzi
Mkuu wa Bank Of Africa Tanzania (BOA), Ammish Owusu Amoah akizungumza
katika hafla ya kufuturisha iliyoandaliwa na benki hiyo kwa ajili ya
wateja wake na kufanyika katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.

Mwenyekiti
wa Bodi ya Bank Of Africa Tanzania (BAO), balozi Mwanaidi Maajar
akizungumza wakati wa hafla iliyoandaliwa na benki ya BOA kwa ajili ya
kufuturisha wateja wake katika hoteli ya Serena Dar es Salaam.
Wateja wa benki ya BOA wakipata futari katika hoteli ya Serena.
No comments:
Post a Comment