PROFESA IBRAHIM LIPUMBA AWASHUKURU WANACHAMA WAKE KWA KUIPA KURA CUF SERIKALI ZA MITAA
Mwenyekiti
wa chama cha Wananchi CUF. Prof, Ibrahim Lipumba alipokuwa
akiwashukuru wananchi wa Buguruni Dar es Salaam jana kwa kupiga kura na
kukipa ushindi mkubwa na imani walio ionyesha kwa wagombea wa chama
hicho kuwezesha kunyakuwa mita 5 na Chama cha Mapinduzi CCM kunyakuwa
mta 1, nakuwaomba wananchi wazidi kuwa na imani na cha hicho.(PICHA NA KHAMISI MUSSA) JAMBO LEO
Mjumbe
wa Chama cha Wananchi CUF. na Kiongozi wa Sanaa Mshikamano cha Temeke
Shamte Mpendaraha alipokuwa akisoma risala kabla ya mgeni Rasmi kuongea
Wanachana wa chama cha wananchi CUF pamoja na wanachi wakimsikiliza kwa makini Mwenyekiti wa Chama hicho Prof Ibrahim Lipumba
No comments:
Post a Comment