Header Ads

PICHA ZA MKUTANO WAKATIBU MKUU WA CCM ABULRAHMAN KINANA KATA YA CHUMO WILAYA YA KILWA

 Umati wa wakazi wa Chumo waliojitokeza kumsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.
 Mkuu wa Wilaya ya Kilwa Ndugu Abddala Ulega akiwatambulisha baadhi ya viongozi wa CCM kata ya Tingi kwa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana  wakati akiwasili kwenye kata hiyo tayari kushiriki ujenzi wa ofisi ya Kijiji.
 Mbunge wa Jimbo la Mtama Mheshimiwa Bernard Membe akisalimia wakazi wa kata ya Tingi
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nappe Nnauye akiwasalimu wakazi wa kata ya Tingi waliojitokeza kushiriki ujenzi wa ofisi ya kijiji .
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wakazi wa kata ya Tingi kabla ya kushiriki ujenzi wa ofisi ya kijiji.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki ujenzi wa ofisi ya kijiji Tingi.
 Mheshimiwa Membe akimsikiliza mmoja wa wananchi wa Tingi
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisoma vijiviji vitkavyopatiwa umeme kwenye mradi wa umeme vijiji unaonedele kwa wananchi wa kata ya Chumo.
  Mbunge wa jimbo la Mtama na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Ndugu Bernard Membe akiwasalimia wananchi wa kata ya Chumo.
  Mbunge wa jimbo la Mtama na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Ndugu Bernard Membe akiingia kwenye uwanja wa mikutano huku akicheza muziki wa chama pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Kilwa Ndugu Abdala Ulega na wananchi  wa kijiji cha Chumo kwenye uwanja wa shule ya msingi Chumo.
 Umati wa wakazi wa kata ya Chumo wakiwa tayari kumsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.
 Wananchi wa Chumo wamepewa sifa ya utulivu kwenye mikutano yao.
 Mkuu wa Wilaya ya Kilwa ndugu Abdala Ulega akiwasalimu wananchi waliojitokeza kwa wingi kwenye viwanja vya shule ya msingi Chumo kuja kumsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.
 Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kilwa Maimuna Mtanda akiwasalimu wakazi wa kata ya Chumo
 Mbunge wa Viti Maalum Fatuma Mikidadi akiwasalimia wananchi wa kata ya Chumo waliojitokeza kwa wingi kuja kumsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.
  Mbunge wa jimbo la Mtama na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Ndugu Bernard Membe akiwasalimia wananchi wa kata ya Chumo waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa hadhara ambao Katibu Mkuu wa CCM alihutubia ikiwa ndio siku ya kwanza ya ziara yake ya siku 16.

No comments:

Powered by Blogger.