Mamia Wajitokeza Kwenye Mkutano wa Hadhara wa Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai Freeman Mbowe Mpanda Mjini
Helkopta inayotumiwa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(Chadema), Freeman Mbowe katika mikutano yake ya Oparesheni Delete CCM,
ikitua katika Uwanja wa Shule ya Msingi Kashaulili mjini Mpanda juzi.
Helkopta inayotumiwa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(Chadema), Freeman Mbowe
ikiondoka katika Uwanja wa Shule ya Msingi Kashaulili mjini Mpanda,
baada ya mkutano wa hadhara wa Oparesheni Delete CCM, uliofanyika juzi.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe
akiwahutubia maelfu ya wakazi wa mji wa Mpanda na vitongoji vyake,
kayika mkutano wa hadahara wa Oparesheni Delete CCM,
juzi.
No comments:
Post a Comment