KINANA ALAKIWA KWA SHANGWE MTWARA VIJIJINI, ATOA HESHIMA KWENYE MNARA WA SHUJAA HAMAD MZEE ALIYETUNGUA NDEGE MBILI ZA KIRENO KATIKA VITA VYA UKOMBOZI WA MSUMBIJI
Mnara wa Kumbukumbu ya Mwanajeshi wa Tanzania , Hamad Mzee aliyeuawa na ndege ya kivita ya wareno baada ya kuzitungua ndege mbili za kivita mwaka 1972 katika Kijiji cha Kitaya mpakani mwa Msumbiji na Tanzania wakati wa mapambano ya kuikomboa Msumbiji |
Kinana akitoa heshima katika mnara wa kumbukumbu shujaa Hamad Mzee katika Kijiji cha Kitaya, Mtwara Vijijini
Wananchi wakishangilia wakati wa mkutano wa hadhara katika Kata ya Kitaya
Ngoma ya asili ikitumbuiza wakati wa mkutano huo
Katibu wa Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akihutubia katika mkutano huo
Kinana akihutubia katika mkutano huo
Kinana
akipanda katika moja ya pikipiki 10 zilizotolewa na Mbunge wa Jimbo la
Mtwara Vijijini, Hawa Ghasia kwa makatibu Kata wa CCM Wilaya ya Mtwara
Vijijini katika mkutano wa hadhara wa katika Kata ya Kitaya.
Kinana akimkabidhi kadi ya CCM mmoja wa wanachama wapya wa chama hicho katika mkutano huo. |
No comments:
Post a Comment