Header Ads

HUYU NDIYE MBUNGE ALIYEOMBA KUVAA KININJA ILI ACHANGIE RIPOTI YA TEGETA ESCROW BUNGENI



MBUNGE wa Mwibara (CCM), Alphaxard Kangi Lugola wakati akichangia katika Ripoti ya PAC kuhusu sakata la Akaunti ya Tegeta Escrow bungeni leo, ameomba kuchangia huku akiwa amevaa 'Kininja' ili kutowaangalia usoni wahusika wa sakata hilo

No comments:

Powered by Blogger.