Mwenyekiti na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Viwanda vya Dangote
(Dangote Industries Group), mfanyabiashara maarufu Afrika, Alhaji
Aliko Dangote akitumia gari kukagua maendeleo ya ujenzi wa kiwanda
chake kikubwa cha saruji katika Kijiji cha Msijute, mkoani Mtwara
leo.
Mwenyekiti na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Viwanda vya Dangote
(Dangote Industries Group), mfanyabiashara maarufu Afrika, Alhaji
Aliko Dangote (kushoto) akizungumza na Mwakilishi Mkazi wa Dangote
nchini, Esther Baruti kwenye Uwanja wa Ndege wa Mtwara leo.
Balozi wa Nigeria nchini, Dk. Ishaya Manjanbu akimlaki Alhaji
Dangote.
BILIONEA DANGOTE AKAGUA TENA UJENZI WA KIWANDA CHAKE CHA SARUJI
Reviewed by
crispaseve
on
1:55 AM
Rating:
5
No comments:
Post a Comment