MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA MKUU WA MSAFARA NA MWAKILISHI WA SULTAN WA OMAN, SAID ASAAD BIN TARIQ AL SAID, NCHINI KUWAIT
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Mwakilishi wa Sultan wa Oman, ambaye pia ni Mkuu wa
Msafara wa Oman, Said Asaad Bin Tariq Al Said, wakati walipokutana faragha jana Nov 19, 2013, nchini Kuwait katika mkutano wa tatu wa Afro-Arab, unaomalizika leo nchini Kuwait
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na Mwakilishi wa Sultan wa Oman, ambaye pia ni Mkuu wa Msafara
wa Oman, Said Asaad Bin Tariq Al Said, baada
ya mazungumzo ya faragha walipokutana jana Nov 19, 2013, katika mkutano
wa tatu wa Afro-Arab, unaomalizika leo nchini Kuwait. Picha na OMR
No comments:
Post a Comment