picha za matukio ya bunge mwishoni mwa wiki.
Waziri wa Maji
na umwagiliaji,Profesa,Jumanne Maghembe(kulia)akizungumza na Mkurugenzi
wa Mfuko wa Akiba ya Wafanyakazi nchini(GEPF)Daudi
Msangi(kushoto)walipokutana kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma mara
baada ya bunge kupitisha muswada wa marekebisho ya mfuko
wa(GEPF),katikati ni Mwenyekiti wa Bodi ya mfuko huo Joyce Shaidi.
Waziri
wa Kazi Ajira na maendeleo ya Vijana,Gaudensia
Kabaka(kushto)akijadiliana jambo na Mbunge wa Kigoma mjini CCM,Peter
Serukamba(kulia)nje ya ukumbi wa bunge mjini Dodoma,mara baada ya bunge
kupitisha sheria ya marekebisho ya mfuko wa Akiba ya Wafanyakazi
nchini(GEPF)katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya kusimamia Mifuko
ya hifadhi ya Jamii nchini,(SSRA) Irene Isaka
Waziri wa Habari Vijana utamaduni na michezo,Dk.Fenella Mukangara,(kulia) akibadilishana
mawazo na Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama,
ambae pia ni mjumbe wa Bodi ya Baraza la sanaa Taifa
(BASATA)walipokutana nje ya ukumbi was Bunge mjini Dodoma,(katikati)ni
Mbunge wa Peramiho,CCM,Jenista Mhagama.
Msajili
wa Vyama vya Siasa nchini,Jaji,Francins Mtungi,(kulia)akisalimiana na
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama(kushoto) Promotions,Alex
Msama,walipokutana nje ya ukumbi wa bunge mjini Dodoma mara baada ya
Rais Kikwete kulihutubia Bunge(katikati)ni Mbunge wa Jimbo la
Peramiho,CCM,Jenista Mhagama.
Katibu
Mkuu wa CCM,Abdurahman Kinana(kulia)akisalimiana na Mkurugenzi wa
Kampuni ya Msama,Promotions,Alex Msama walipokutana kwenye viwanja vya
Bunge mjini Dodoma,mara baada ya Rais kulihutubia bunge,pamoja nao
katikati ni Waziri wa Ardhi nyumba na maendeleo ya makazi Profesa Anna
Tibaijuka.
No comments:
Post a Comment