DK ULIMBOKA AANZA KUPA AHUENI, ALA MTORI, YUPO CHINI YA ULINZI MKALI
Hali
ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari Tanzania, Dk. Stephen Ulimboka,
inaendelea vizuri katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dar es Salaam
alikolazwa jana baada ya kutekwa, kupigwa na watu wanaodhaniwa kuwa
majambazi.
Tetesi tulizozipata kutoka kwa wadau wetu, kutoka Muhimbili usiku wa kuamkia leo, zimedai kwamba Dk. Ulimboka aliweza kunywa mtori aliopelekewa na madaktari wenzie.
Pia, ilielezwa kuwa waodi aliyolazwa ilikuwa na ulinzi mkali wa madaktari wenzie, ambapo hakuna mtu yeyote asiyefahamika kusogea ama kuingia kumuona.

No comments:
Post a Comment