NANI KUIBUKA KINARA WA TUZO ZA FILAMU TANZANIA!

Rais
wa Shirikisho la Filamu Tanzania Simon Mwakifwamba(kulia) akielezea
jambo kwa wana habari(hawapo pichani) wakati wa kutangaza walioingia
katika hatua ya mwisho ya kushindania Tuzo za Filamu Tanzania leo jijini
Dar es Salaam katika mkutano na wana habari uliofanyika katika hotel ya
New Africa ya jijini Dar es Salaam, kulia kwake ni Mwenyekiti wa kamati
ya maandalizi ya tuzo hizo Caroline Gul na mmoja wa wadhani kutoka
International Eye Hospital Dr. Recep Yujel.

Jaji mkuu
katika mchakato wa mchujo Issa Mbura kutoka Chuo Kikuu cha Dar es
Salaam akitoa ufafanuzi wa vipengere 11 vilivyoainishwa kushindaniwa.

Afisa
Masoko kutoka EATV/EA Radio Happy Shame ambao ni moja ya wadhamini wa
tuzo hizi akitoa neno kwa niaba ya wadhamini wa Tuzo za Filamu Tanzania.

Mwakilishi kutoka Push Mobile Bwana Ezekiel akielezea namna ya upigaji kura ili kupata washindi tuzo hizi kubwa nchini.
No comments:
Post a Comment