Mkuu wa
Mkoa wa Pwani, Mwantumu Mahiza akiwa na huzuni wakati wa mazishi ya
watu waliokufa katika ajali ya basi la Deluxe, leo katika eneo la
makaburi la AIR MSAE, mjini Kibaha. Kulia ni Mbunge wa Viti Maalum,
Zainabu Vulu na Naibu Waziri wa Fedha, Gregory Teu
Majeneza
12 yenye majivu ya miili ya watu waliopoteza maisha juzi kwenye basi la
Kampuni ya Deluxe, ikiwa kwenye ibada ya kuaga miili hiyo kabla ya
maziko yaliyofanyika makaburi ya Air Msae, Kibaha, mkoani Pwani
Reviewed by
crispaseve
on
8:54 AM
Rating:
5
No comments:
Post a Comment